MAHAKAMA KUU LEO KUSIKILIZA KESI YA IPTL NA PAP DHIDI YA DAVID KAFULILA

MAHAKAMA KUU LEO KUSIKILIZA KESI YA IPTL NA PAP DHIDI YA DAVID KAFULILA

Like
481
0
Thursday, 30 October 2014
Local News

MAHAKAMA kuu ya Tanzania leo kwa mara ya pili itasikiliza kesi namba 131 iliyofunguliwa na Singasinga, SETHI, Kampuni za IPTL na PAP dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.

KAFULILA

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Katika kesi hiyo Kafulila anadaiwa shilingi bilioni 310 na Kampuni hizo kwa madai ya kuzichafua kwakuziita za kifisadi na kwamba ziepora fedha kiasi cha bilioni 200 kwenye akaunti ya Escrow kinyume cha taratibu

Katika kesi ya kwanza, Mheshimiwa Kafulila kupitia kwa mwanasheria wake… anapinga hoja hiyo kwa madai kuwa hukumu hiyo haikuelekeza fedha za Escrow Kampuni ya IPTL.

 

Comments are closed.