MAHAKAMA YAMPA LUDA MAMLAKA YA MALEZI YA MTOTO WAKE

MAHAKAMA YAMPA LUDA MAMLAKA YA MALEZI YA MTOTO WAKE

Like
276
0
Thursday, 29 January 2015
Entertanment

Ludacris amepata kile alichokuwa akikihitaji kwenye mahakama ya kusuluhisha migogoro ya kifamilia ambapo mahakama imempa mamlaka katika malezi ya mtoto wake mwenye miezi 13

Maamuzi hayo ya mahakama yamekuja mara baada ya mama wa mtoto huyo Tamika Fuller alipotoa ushahidi katika mahakama hiyo kwa kueleza kwamba Ludacriss aliikataa mimba ya mtoto huyo lakini pia alienda mbali kwa kusema alitaka mimba itolewe lakini chanzo cha habari kimeeleza kuwa jaji alipitia ripoti ya mtaalam wa kujitegemea na ushahidi ambapo mahakama imeridhia kuwa Ludacriss ni mzazi bora na kumpa mamlaka hayo ya kuweza kukaa na mtoto huyo

Jaji amewapa wote wawili Luda na Tamika haki ya kisheria kuhusika na malezi ya mtoto huyo

Comments are closed.