MAHIZA AMSHAURI MENGI KUWEKA PAMOJA WAFANYABIASHARA KATIKA SEKTA BINAFSI

MAHIZA AMSHAURI MENGI KUWEKA PAMOJA WAFANYABIASHARA KATIKA SEKTA BINAFSI

Like
299
0
Friday, 19 December 2014
Local News

 MKUU wa Mkoa wa Lindi MWANTUMU MAHIZA amemshauri Mwenyekiti wa Taasisi za Sekta Binafsi Tanzania-TPSF Dokta REGINALD MENGI kuwaweka pamoja Wafanyabiashara katika sekta binafsi ili waweze kupata fursa zaidi za kibiashara nje ya nchi.

MAHIZA ameeleza hayo wakati akipokea shukrani kutoka kwa Dokta MENGI kutokana na kuliwakilisha vema Taifa nchini China.

Amebainisha kuwa alipokuwa China pamoja na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka nchini pia amesaini mkataba kwa niaba ya Taasisi hiyo kwa lengo la kufanya biashara kati ya nchi hizo mbili.

 

Comments are closed.