MAHIZA: WIKI MOJA TU LA SIVYO!!!

MAHIZA: WIKI MOJA TU LA SIVYO!!!

Like
1093
0
Thursday, 20 November 2014
Local News

 

MKUU WA MKOA wa Pwani Mwantumu Mahiza ametoa muda wa Wiki moja kwa watendaji wa Wizara ya Ardhi na Wizara ya Maliasili na Utalii kulipatia ufumbuzi suala la uvamizi wa Hifadhi ya Kazimzumbwi.

MAHIZA ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea Hifadhi hiyo ambapo alifuatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo.

Amebainisha kuwa hifadhi hiyo ipo hatarini kutoweka na kuvamiwa na watu walioweka makazi ya kudumu na kuendesha shughuli mbalimbali.

 

Comments are closed.