MAITI YA MTOTO YAGEUKA NA KUWA MZEE ANAEKADILIWA KUWA NA MIAKA 60

MAITI YA MTOTO YAGEUKA NA KUWA MZEE ANAEKADILIWA KUWA NA MIAKA 60

Like
322
0
Wednesday, 19 August 2015
Local News

KATIKA hali isiyo ya kawaida mtoto mwenye umri wa miaka 12, Neema Maginga katika Manispaa ya Musoma Mkoani Mara amefariki dunia na wakati wa maandalizi  ya mazishi yake  marehemu akabadirika kutoka umbo lake la kawaida na kuwa mzee mwenye umri unaokadiliwa kuwa miaka( 60).

Akizungumzaa  na EFM katika eneo la tukio mama mzazi wa marehemu amesema ni katika hali isiyofahamika wakati wa maandalizi ya kwenda kupumzisha mwili wa marehem ndipo ilipotokea sitofahamu katika mwili wake na kubadilika katika maumbo tofauti na hapa anaelezea jinsi tukio hilo lilivyotokea.

Naye kaka wa marehem amesema mauti hayo yamekuja binti huyo akiwa amejipumzisha na  wakatia akiandaa maandalizi ya kwenda kufanya biahara aliyokuwa anajishughulisha na mama yake ya kuuza togwa ndipo alipotamka mara mmoja anajisikia kuumwa kichwa na ghafla umauti huo ukamkuta huku kifo chake kikihusishwa na imani za kishirikina.

Taarifa zaidi za habari hii zitapatikana pia kesho katika kipindi cha JOTO LA ASUBUHI

Comments are closed.