MWALIMU MKUU wa Shule ya Msingi ya Nyanguku iliyopo Halmashauri ya Mji wa Geita FRANCIS KATOTO amejeruhiwa baada ya kukatwa mapanga na watu wanaosadikiwa kuwa ni Majambazi.
Tukio hilo limetokea usiku baada ya Majamzani hao kuvamia nyumba ya Mwalimu huyo na kupora fedha.