MAJESHI YA IRAQ YAANZA KAMPENI DHIDI YA IS

MAJESHI YA IRAQ YAANZA KAMPENI DHIDI YA IS

Like
318
0
Monday, 02 March 2015
Global News

SERIKALI ya Iraq imesema kuwa wanajeshi wake wameanza kampeni ya kuwaondoa wapiganaji wa Islamic State kutoka mji wa Tikrit .

Mji huo mkuu wa jimbo la kaskazini la Salahuddin ulidhibitiwa na wanamgambo wa Islamic state Juni mwaka uliopita.

Serikai inasema kuwa wanajeshi 30,000 wakiwemo wapiganaji 200 wakujitolea wa kisuni pamoja na wakurdi wanaelekea mji wa Tikrit wakisadiwa na ndege za kivita . Mji wa Tikrit uko kilomita 150, Kaskazini mwa mji wa mkuu wa Baghdad.

Comments are closed.