MAJESHI YA IRAQ YAUKOMBOA MJI WA TIKRIT

MAJESHI YA IRAQ YAUKOMBOA MJI WA TIKRIT

Like
252
0
Friday, 13 March 2015
Global News

KATIKA mapigano makubwa na makali yanaondelea dhidi ya wanamgombo wa Islamic State, majeshi ya Iraq na yale Shia yamezidi kupata ushindi na kuurudisha tena mji wa Tikrit.

Majeshi ya nchi hiyo yamesema imewachukua usiku mzima kupambana katika eneo la kaskazini, mashariki na magharibi kando ya mji, kuingian katikati mwa mji.

Kwa mujibu wa ripoti moja, kwa sasa wapiganaji mia moja na hamsini wa kundi la Islamic State wameendelea kuwepo katika mji huo wa Tikrit, ambao ni makao makuu ya jimbo la Salahuddin.

 

Comments are closed.