MAJESHI YA MAREKANI KUSALIA AFGHANISTAN

MAJESHI YA MAREKANI KUSALIA AFGHANISTAN

Like
283
0
Friday, 16 October 2015
Global News

RAIS wa Marekani,Barack Obama ametangaza kuongeza muda wa majeshi ya Marekani kuwepo nchini Afghanistan.

Takriban wanajeshi 10,000 wataendelea kubaki nchini humo kwa kipindi hasa cha mwaka ujao.

Obama amesema vikosi vya Afghanistan havina nguvu bado ya kupambana na tishio linaloongezeka kutoka kwa wanamgambo wa Taliban.

 

Comments are closed.