MAJESHI YA NATO YAWASILI KUNDUZ

MAJESHI YA NATO YAWASILI KUNDUZ

Like
406
0
Wednesday, 30 September 2015
Global News

KIKOSI maalum cha shirika la kujihami la muungano wa mataifa ya Magharibi NATO, kinasemekana kufika mji wa Kunduz nchini Afghanistan.

Nia hasa ni kujaribu kuutwaa tena mji huo, ambao kwa sasa uko chini ya udhibiti wa kundi la wapiganaji wa Taliban.

Comments are closed.