MAKABURI: VIONGOZI WA MANDERA WAKAMATWA

MAKABURI: VIONGOZI WA MANDERA WAKAMATWA

Like
218
0
Thursday, 10 December 2015
Global News

VIONGOZI kadha kutoka eneo la Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya, wamekamatwa na polisi kuhusiana na madai ya kuwepo kwa makaburi yaliyozikwa miili ya watu kadha.

Seneta Billow Kerrow amekamatwa pamoja na wabunge wengine wanne baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Wilson, Nairobi na kupelekwa makao makuu ya uchunguzi upande wa akosa ya jinai.

Comments are closed.