MAKABURI YAFUKULIWA TIKRIT

MAKABURI YAFUKULIWA TIKRIT

Like
256
0
Tuesday, 07 April 2015
Global News

WATAALAMU wa kuchunguza Maiti, wameanza kufukua zaidi ya Makaburi 12 ya halaiki, katika mji wa Tikrit, nchini Iraq.

Hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya Wapiganaji wa Islamic State, kutimuliwa nje ya mji huo.

Makaburi hayo yaanaminika kuwa na zaidi ya Maiti Elfu Moja Mia Saba ya Wanajeshi Waislamu wa Kishia, waliouwawa mwezi Juni mwaka jana na Wanamgambo wa IS.

TT T

Comments are closed.