Makamu wa Rais Mama Samia akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Bill & Melinda Gates Foundation

Makamu wa Rais Mama Samia akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Bill & Melinda Gates Foundation

Like
452
0
Friday, 23 March 2018
Local News

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo (Ijumaa) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bill & Melinda Gates Foundation, Rodger Voorhies.

Mhe. Samia amekutana na Voorhies kwenye makazi ya Makamu wa Rais, Kilimani mjini Dodoma.

Comments are closed.