MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU AZINDUA PROGRAM MAALUM YA MWANAMKE NA WAKATI UJAO

MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU AZINDUA PROGRAM MAALUM YA MWANAMKE NA WAKATI UJAO

Like
345
0
Wednesday, 24 February 2016
Local News

MAKAMU wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo amezindua program maalumu ya mwanamke na wakati ujao ambayo itawajengea wanawake uwezo katika bodi za wakurugenzi wa taasisi na Kampuni mbalimbali.

SAMIA

Katika uzinduzi huo uliofanyika kwenye hote ya Hayatt Regency jijini Dar es salaam, na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo kutoka nchini za Kenya na Uganda pamoja na wengine kutoka Ulaya na Asia, Mheshimiwa Suluhu amesema kuwa, wanawake ni watendaji wazuri na wanamaamuzi sahihi katika uongozi na uendeshaji wa kampuni na taasisi.

Comments are closed.