MAKONTENA YAGUNDULIWA KUWA NA MALIGHAFI ZA UJENZI WA KIWANDA

MAKONTENA YAGUNDULIWA KUWA NA MALIGHAFI ZA UJENZI WA KIWANDA

Like
279
0
Wednesday, 02 December 2015
Local News

HATIMAYE Makontena tisa yalio kamatwa jana maeneo ya mbezi tangi bovu  mali ya kampuni ya HERITAGE EMPIRE COMPANY LIMITED yamefunguliwa na kukaguliwa na kukutwa na malighafi za   ujenzi wa kiwanda.

Makontena hayo tisa ambayo yana milikiwa na kampuni ya HERITAGE EMPIRE yameanza kukaguliwa toka jana jioni na kukamilika leo ambapo e fm imeshuhudia ukaguzi huo na kukuta malighafi mbalimbali   za  ujenzi  kama vile vyuma vikubwa vyenye uwezo wa kujenga kiwanda cha ukubwa wa square mita za mraba elfu nne  vitu vingine vilivyo kutwa ni mabati na vifaa maalumu kwa ajili ya kupoza na kuruhusu hewa kuingia kwenye majengo ya viwanda GLASS WOOL

Comments are closed.