MALI: WATU WENYE SILAHA WASHAMBULIA HOTELI

MALI: WATU WENYE SILAHA WASHAMBULIA HOTELI

Like
256
0
Friday, 20 November 2015
Global News

WATU wenye silaha wameshambulia hoteli ya Radisson Blu katika mji mkuu wa Mali, Bamako.

Ripoti zinaeleza kwamba Kuna dalili kwamba hilo ni jaribio la kuwachukua watu mateka ambapo Milio ya risasi imesikika kutoka nje ya hoteli hiyo.

Hata hivyo Maafisa wa usalama wa serikali ili kupata usaidizi kurejesha usalama na hali ya kawaida hotelini hapo pamoja na wananchi wote walio karibu na maeneo hayo.

151120091839_radisson_blu_hotel_512x288_radissonbluhotel

sehemu ya hoteli

Comments are closed.