MALYSIA: KESI YA UFISADI YA RAZAK KUKATIWA RUFAA

MALYSIA: KESI YA UFISADI YA RAZAK KUKATIWA RUFAA

Like
270
0
Wednesday, 27 January 2016
Global News

SHIRIKA la kukabiliana na ufisadi nchini Malaysia limesema kuwa litakata rufaa kuhusu uamuzi wa kuondoa tuhuma za ufisadi dhidi ya waziri mkuuu, Najib Razak.

Siku ya jumanne, mkuu wa sheria amesema kuwa uchunguzi haukupata ushahidi kwamba Najib alivunja sheria.

Kesi hiyo imeitikisa nchi ya Malaysia na kutishia kumwondoa madarakani ikichangiwa na Uamuzi wa kumuondelea mashtaka hali iliyozua hisia kali kwa wananchi.

Comments are closed.