MAMA MZAZI WA BEYONCE AFUNGA NDO NDANI YA BOTI

MAMA MZAZI WA BEYONCE AFUNGA NDO NDANI YA BOTI

Like
295
0
Monday, 13 April 2015
Entertanment

Mama mzazi wa Beyonce mwenye umri wa miaka 61, Tina Knowles amefunga ndoa na muigizaji Richard Lawson mapema mwishoni mwa wiki kwenye boti maalum katika ufukwe wa Newport huko marekani.

Hii ni harusi ya pili kwa Tina Knowles ambae alifungua kesi ya madai ya taraka mwaka 2009 kutoka kwa baba mzazi wa Beyonce ambae pia alikuwa meneja miaka ya nyuma bwana Mathew Knowles

Mwezi Octoba Tina ambae pia ni mbunifu wa mavazi aliweka wazi mahusiano hayo na muigizaji huyu Richard Lawson ambae pia aliwahi kuwa kwenye ndoa katika kipindi cha maisha yake ya nyuma, miongoni mwa movie alizowahi kucheza ni “Poltergeist,”

Sherehe hzio pia zilihudhuliwa na Beyonce, Jay Z , Blue Ivy, Solange Knowles nk.

0412-tina-knowles-fiance-married-tmz-6

Comments are closed.