MAMIA YA WAHAMIAJI WAINGIA SLOVENIA

MAMIA YA WAHAMIAJI WAINGIA SLOVENIA

Like
211
0
Monday, 19 October 2015
Global News

MAMIA ya wahamiaji wamevuka na kuingia Slovenia kutoka Croatia leo, baada ya Serikali ya Hungari kufunga mpaka wao ambapo Siku ya Jumamosi Wahamiaji 2,500 waliruhusiwa kuingia Slovena.

 

Serikali ya Slovenia imesema inaweza kuhudumia idadi kama hiyo tu kwa siku na Hungary ilisema kuwa ilifunga mpaka wake na Croatia usiku wa Kuamkia Jumamosi kwa sababu viongozi wa Muungano wa Ulaya walishindwa kukubaliana juu ya mpango wa kupunguza idadi ya watu wanaotafuta hifadhi.

 

Msemaji wa UNHCR, Babar Baloch, amesema kuwa baridi imeongezeka na kutakuwa na changa moto nyingi zaidi.

Comments are closed.