MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA YAANZISHA MFUMO MPYA WA KULIPA BILI KWA NJIA YA SIMU

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA YAANZISHA MFUMO MPYA WA KULIPA BILI KWA NJIA YA SIMU

Like
506
0
Thursday, 09 July 2015
Local News

MAMLAKA ya Maji Safi na Maji Taka-DAWASO imeanzisha mfumo mpya wa kutuma na kulipia bili za maji kwa njia ya simu ili kurahisisha huduma za ulipiaji maji kwa wananchi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo Kaimu Meneja Uhusiano DAWASCO, EVERLASTING  LYARO amesema kuwa kwa sasa huduma hiyo inapatakana katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Bagamoyo lakini pia ni maalum kwa watu wa majumbani.

Comments are closed.