MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI YASHAURIWA KUWA MAKINI NA UJENZI UNAOENDELEA KATIKA KIWANJA CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE

MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI YASHAURIWA KUWA MAKINI NA UJENZI UNAOENDELEA KATIKA KIWANJA CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE

Like
256
0
Tuesday, 19 May 2015
Local News

UONGOZI wa Mamlaka za Viwanja vya Ndege Tanzania wameshauriwa kuwa makini katika Ujenzi unaoendelea wa Jengo la kutua na Kupaa Ndege katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere -JNIA.

Ujenzi huo unaotarajiwa kuongeza uwezo wa Uwanja wa mara tatu zaidi umejikita katika sehemu za maegesho ya magari, sehemu ya abiria kupumzika, sehemu ya abiria kupanda na kushuka kwenye ndege, Ofisi za Uhamiaji na huduma nyingine muhimu.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo SULEIMAN  SULEIMAN amesema Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere –JNIA, hapo awali kilikuwa na uwezo wa kuruhusu ndege Sita tu kutua kwa saa lakini kwa sasa unaweza kuruhusu ndege hadi 30.

ny

Comments are closed.