MANCHESTER CITY YAKUBALI KUMSAJILI RAHEEM STERLING

MANCHESTER CITY YAKUBALI KUMSAJILI RAHEEM STERLING

Like
217
0
Monday, 13 July 2015
Slider

Manchester City imekubali dili la kumsajili mshambuliaji wa England Raheem Sterling kwakitita cha pound 49 million deal kutoka kwa wapinzani wao Liverpool nah ii ni kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchini Uingereza.

Mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 20 hakuondoka na kikosi cha Liverpool kwenye ziara ya klabu hiyo huko Asia na Australia baada ya kutajwa kwenye kikosi.

Comments are closed.