MANCHESTER UNTD USO KWA USO NA ARSENAL KOMBE LA FA

MANCHESTER UNTD USO KWA USO NA ARSENAL KOMBE LA FA

Like
452
0
Tuesday, 17 February 2015
Slider

Maasimu wa jadi katika ligi ya mpira wa miguu huko Uingereza wanarajia kukutana kwenye mechi za kombe la FA ambapo Arsenal watasafiri kwenda Old Trafford kuikabili Manchester Untd.
Mchezo huo unatajwa kuwa ni mchezo unaosubiriwa kwa hamu katika hatua ya robo fainali ambapo timu hizo zinatarajiwa kushuka dimbani tarehe 7 au 8 ya mwezi Machi.

Manchester Untd imeingia kwenye hatua hiyo baada ya kuilaza Preston North End mabao 3-1 siku ya jumatatu.
Mbali na mchezo huo wa Manchester Untd na Arsenal, Liverpool itakuwa mwenyeji wa Blackburn wakati Bradford City itamenyana na Reading huku Aston Villa na West Brom zitamenyana katika uwanja wa Villa Park.

MAN U3 MAN UMAN U6

Comments are closed.