MANISPAA YA TEMEKE INAWEZA KUIONGEZEA SERIKALI MAPATO KAMA RASILIMALI ZAKE ZITATUMIKA VIZURI

MANISPAA YA TEMEKE INAWEZA KUIONGEZEA SERIKALI MAPATO KAMA RASILIMALI ZAKE ZITATUMIKA VIZURI

Like
390
0
Wednesday, 07 January 2015
Local News

KAMATI YA BUNGE ya Hesababu za Serikali za Mitaa-LAAC imeitaka Manispaa ya Temeke kuongeza makusanyo hadi kufikia Shilingi Bilioni 35.

Akizungumza katika ziara ya Kamati hiyo jijini Dar es salaam,Mwenyekiti wa LAAC Mheshimiwa RAJAB MOHAMED amesema Manispaa hiyo ina uwezo wa kuiongezea Serikali mapato endapo itatumia vizuri rasilimali zake.

Comments are closed.