MANYARA: MKUU WA KITENGO CHA MANUNUZI TANROADS AHUKUMIWA MIAKA 3 JELA KWA KUOMBA RUSHWA

MANYARA: MKUU WA KITENGO CHA MANUNUZI TANROADS AHUKUMIWA MIAKA 3 JELA KWA KUOMBA RUSHWA

Like
436
0
Thursday, 17 September 2015
Local News

MKUU wa kitengo cha manunuzi kutoka  wakala wa barabara nchini (Tanroads) Mkoani Manyara, Raphael Chasama amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu au kulipa faini ya shilingi milioni1 kwa kosa la kuomba rushwa ya shilingi 7.4.

Hakimu mfawidhi wa mahakama ya Wilaya ya Babati, Bernadeta Maziku akisoma hukumu Mahakamani hapo amesema  Disemba 22 mwaka 2009, bwana Chasama alishawishi kupewa rushwa kinyume na sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa.

Comments are closed.