MAOFISA WA ARDHI WATAKIWA KUTENDA HAKI YA KUTOA HUKUMU KWA WAKATI

MAOFISA WA ARDHI WATAKIWA KUTENDA HAKI YA KUTOA HUKUMU KWA WAKATI

Like
300
0
Thursday, 12 March 2015
Local News

WAZIRI wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mheshimiwa WILLIUM LUKUVI ameaagiza maofisa Ardhi kuhakikisha wanatenda haki ya kutoa hukumu kwa wakati kuhusu mashauri ya ardhi.

Mheshimiwa LUKUVI ameeleza hayo Katika ziara yake ya Siku mbili mkoani Mwanza na kuongeza kuwa lengo la ziara hiyo ni kutokana na kuwepo kwa malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa Kanda ya Ziwa.

Pia amewaasa maofisa Ardhi kuhudumia wananchi kwa Haki na Uzalendo bila kujali uwezo wao kifedha

Comments are closed.