MAOMBI YA RUHUSA YA KUTOA MIMBA KWA WENYE ZIKA YATUMWA BRAZIL

MAOMBI YA RUHUSA YA KUTOA MIMBA KWA WENYE ZIKA YATUMWA BRAZIL

Like
264
0
Friday, 29 January 2016
Global News

KUNDI la mawakili, wanaharakati na wanasayansi nchini Brazil limewasilisha ombi kwa mahakama ya juu nchini humo likitaka wanawake wenye virusi vya Zika waruhusiwe kutoa mimba.

Virusi vya Zika vinaaminika kusababisha watoto kuzaliwa wakiwa na vichwa vidogo, na kudumaza ubongo.

Utoaji mimba nchini Brazil hauruhusiwi kisheria, ila tu wakati wa dharura ya kiafya au iwapo mimba imetokana na ubakaji hali ambayo kwa Kiingereza inajulikana kama microcephaly.

Comments are closed.