MAONYESHO YA KITAIFA YA ELIMU YAFUNGULIWA RASMI

MAONYESHO YA KITAIFA YA ELIMU YAFUNGULIWA RASMI

Like
250
0
Thursday, 18 December 2014
Local News

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dokta Shukuru Kawambwa amesema kuwa Maonyesho ya Kitaifa ya Elimu –TIEE yatasaidia kuangalia namna ya kuisukuma ajenda ya elimu nchini.

 

Dokta Kawambwa ameyasema hayo leo wakati akifunguwa rasmi Maonyesho ya siku saba ya Elimu kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.

 

Maonyesho hayo ya siku saba yanayohusisha zaidi ya kampuni 80 za Elimu, Wadau, Taasisi na Walimu yamelenga kutengeneza jukwaa moja la kutoa taarifa za Elimu na Taasisi zake nchini.

 

Comments are closed.