MAONYESHO YA UGUNDUZI WA KISAYANSI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI KUFANYIKA LEO DAR

MAONYESHO YA UGUNDUZI WA KISAYANSI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI KUFANYIKA LEO DAR

Like
359
0
Thursday, 06 August 2015
Local News

MASHINDANO maalum ya maonyesho ya kazi za kigunduzi na kisayansi zilizofanywa na baadhi ya wanafunzi wa shule za Sekondari nchini yanafanyika leo nchini.

Maonyesho hayo ambayo yanafanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na rais Mstaafu wa awamu ya pili  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ALLY HASSAN MWINYI yameandaliwa na Taasisi ya Young Scientist Tanzania-YST yakiwa na lengo la kuwatia moyo vijana wakitanzania waliopo shuleni kupendelea kusoma masomo ya sayansi  ambayo yatachangia kupata wagunduzi na watafiti wa kutosha katika fani hiyo.

Comments are closed.