MAPENDEKEZO YA ILANI YA VIJANA YA MWAKA 2015 KUJADILIWA

MAPENDEKEZO YA ILANI YA VIJANA YA MWAKA 2015 KUJADILIWA

Like
315
0
Thursday, 17 December 2015
Local News

SHIRIKA la Maendeleo ya Vijana nchini (RESTLESS) linatarajia kukutana na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa wakiwemo wabunge na madiwani kutoka vyama tofauti pamoja na viongozi wa Serikali ili kujadili  mapendekezo yaliotokana na ilani ya vijana ya mwaka 2015 -2020.

Akizungumza jijini dare s Salaam kwenye semina iliyoandaliwa na shirika hilo na kuwakutanisha vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini walioshiriki kuandaa ilani hiyo,  Mkurugenzi wa Restless development Margaret Mliwa, amesema kuwepo kwa viongozi hao kesho kutawasaidia vijana kueleza mambo ambayo yanaweza kutoa agenda muhimu kuhusiana na vijana pindi watakapo kuwa bungeni.

 

 

Comments are closed.