Ikiwa ni siku kadhaa toka stori za Nicki Minaj na Safaree Samuels mahusiano yao kuyumba, hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii kufuatia post zilizotumwa na wawili hao katika muda tofauti huku kila mmoja akiandika maneno yake
mahusiano ya wawili hawa yaliyodumu kwa miaka isyopungua kumi na nne (14) kwa sasa hayapo tena, na hii imekuja mara baada ya Safaree Samuels kuonekana amezificha tatoo za Nicki minaj kwenye mwili wake kwa kuchora tatoo nyinginge mpya kwa juu yake kama alivyowahi kufanya Nick Cannon mara baada ya kuachana na Mariah Carrey.
Nicki Minaj amedai kuwa Safaree Samuels amekuwa na wivu usiodhibitika juu ya maendeleo ambayo aliyoshiriki kuyatafuta