MAPIGANO YAONGEZEKA BUJUMBURA

MAPIGANO YAONGEZEKA BUJUMBURA

Like
319
0
Friday, 06 November 2015
Global News

WATU zaidi wameendelea kutoroka katika  mji wa Bujumbura nchini Burundi baada ya kuongezeka kwa mapigano.

Jumatano, watu wanne waliuawa katika mitaa miwili ya mji huo mkuu na  Maafisa wa serikali wanasema watu hao waliuawa kwenye ufyatulianaji wa risasi kati ya makundi ya watu wenye silaha na maafisa wa polisi usiku.

Mauaji yamekuwa yakitokea nchini Burundi tangu Aprili baada ya kuanza kwa maandamano ya kupinga hatua ya Rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu.

BUR

Comments are closed.