MARA: WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKI KUCHANGIA MAENDELEO

MARA: WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKI KUCHANGIA MAENDELEO

Like
298
0
Wednesday, 27 April 2016
Local News

WANANCHI katika halmashauri zote  mkoani mara wametakiwa kushiriki katika kuchAngia maendeleo na kuachana na dhana zinazoendelezwa na baadhi ya  viongozi katika serikali wanaotoa kauli zakuwapinga wananchi kuchangia maendeleo ya elimu na kulitumia vibaya neno Elimu bure.

Yamesemwa hayo na mwenyekiti wa halmashauri ya BUTIAMA Magina Magesa alipokuwa akizungumza katika uhamasishaji wa kuchangia maendeleo ya elimu hususani ujenzi wa maaabara na madawati katika wilaya hiyo .

 

Comments are closed.