MAREKANI: AFISA WA POLISI AHUKUMIWA KWA MAUAJI YA MTU MWEUSI

MAREKANI: AFISA WA POLISI AHUKUMIWA KWA MAUAJI YA MTU MWEUSI

Like
302
0
Wednesday, 08 April 2015
Global News

WAKUU katika jimbo la South Carolina nchini Marekani wamemhukumu Afisa mmoja wa polisi mweupe, kwa kosa la mauaji.

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kumpiga risasi raia mmoja mweusi na kumuuwa.

Mkanda wa video unaonesha mtu mmoja, WALTER SCOTT, akipigwa risasi alipokuwa akimkimbia Afisa huyo.

 

 

Comments are closed.