MAREKANI: JOE BIDEN ATANGAZA KUTOWANIA URAIS MWAKA UJAO

MAREKANI: JOE BIDEN ATANGAZA KUTOWANIA URAIS MWAKA UJAO

Like
210
0
Thursday, 22 October 2015
Global News

MAKAMU wa Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kwamba hatawania urais mwaka ujao.

Ni wazi sasa kuwa Bernie Sanders ndiye mpinzani mkuu wa Mama Hillary Clinton kwa uwaniaji wa Urais wa Marekani kupitia chama cha Democrat, baada ya Makamu wa Rais Joe Biden kutangaza kuwa hatagombea Urais wa Marekani.

Akiongea katika mji mkuu wa New York, Bwana Sanders alimpongeza Makamu wa Rais kwa kutoa huduma muhimu kwa jamii kwa muda mrefu.

Comments are closed.