MAREKANI KUWAKABILI WAASI UKRAINE

MAREKANI KUWAKABILI WAASI UKRAINE

Like
217
0
Tuesday, 10 February 2015
Global News

RAIS wa Marekani Barack Obama amesema kuwa Marekani inatafakari kupeleka silaha nchini Ukraine kusaidia kukabiliana na Waasi wanaoiunga mkono Urusi.

Akizungumza katika Ikulu ya White House baada ya mazungumzo na Kansela wa Ujerumani Angela Markel, Obama amesema nia itakuwa kuisaidia Ukraine kuimarisha ulinzi kuliko kulishinda jeshi la Urusi.

Kwa upande wake Kansela wa Ujerumani Angela Markel amesema haoni kama njia za kijeshi zinaweza kuumaliza mzozo huo.

 

Comments are closed.