MAREKANI NA CHINA KUENDELEZA USHIRIKIANO JUU YA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

MAREKANI NA CHINA KUENDELEZA USHIRIKIANO JUU YA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

Like
245
0
Friday, 11 December 2015
Global News

RAIS Xi Jinping wa China na Barack Obama wa Marekani walikuwa na mazungumzo ya simu leo na kuahidi kwamba nchi zao zitaendelea kushirikiana  katika suala la mabadiliko ya tabia nchi.

Televisheni ya taifa  nchini China  imeripoti kwamba marais hao wawili wamesema watashirikiana kwa karibu kuendeleza mafanikio yatakayotokana na mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu tabia nchi unaoendelea mjini Paris, Nchini Ufaransa.

 

Comments are closed.