MAREKANI NA ISRAEL ZAPINGA AZIMIO LA PALESTINA KUTOTAWALIWA KIMABAVU

MAREKANI NA ISRAEL ZAPINGA AZIMIO LA PALESTINA KUTOTAWALIWA KIMABAVU

Like
299
0
Tuesday, 30 December 2014
Global News

MABALOZI wa Mataifa ya Kiarabu wameidhinisha pendekezo la Palestina kuhusu marekebisho ya azimio la Umoja wa Mataifa la kutaka Israel kuacha kuikalia kwa mabavu Palestina katika kipindi cha miaka mitatu.

Pendekezo hilo limepingwa na Israel pamoja na Marekani.

Marekani imesisitiza kwamba lazima pawe na suluhisho la mazungumzo katika mzozo wa Israel na Palestina.

Comments are closed.