MAREKANI NA VIETNAM ZAIMARISHA MAHUSIANO YAO

MAREKANI NA VIETNAM ZAIMARISHA MAHUSIANO YAO

Like
163
0
Wednesday, 08 July 2015
Global News

RAIS wa Marekani Barack Obama amefanya mazungumzo na kiongozi wa chama cha jamii ya wavietnam Ikulu mapema wiki hii,mkutano ambao ni wa kwanza tangu nchi hizo mbili kurejesha uhusiano baada ya miaka ishirini iliyopita.

Rais Obama amesema kwamba pamoja na kutofautiana kwa falsafa za kisiasa,nchi kati ya nchi hizo mbili bado unahitajika ushirikiano wa dhati, katika kujiimarisha kiuchumi.

Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kwamba Rais Obama anatafuta kuweka historia ya serikali yake kutoka katika uhusiano tete na Vietnam na kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa kimkakati dhidi ya China.

Comments are closed.