MAREKANI YAHOFIA KUZUIWA KWA WAPINZANI CUBA

MAREKANI YAHOFIA KUZUIWA KWA WAPINZANI CUBA

Like
160
0
Tuesday, 11 August 2015
Global News

SERIKALI ya Marekani imesema kwamba ina wasiwasi mkubwa kuhusiana na kuzuiwa kwa wapinzani tisini katika mji mkuu wa Cuba, Havana mwishoni mwa wiki iliyopita.

Wajumbe wa kundi moja la kipinzani la wasichana wanaovaa nguo nyeupe wamesema kuwa wanausalama wa Cuba waliwazingira na kuwashililia kisha kuwaachilia huru baada ya saa nne unusu kupita.

Kukamatwa huko kumekuja siku chache kabla ya ziara ya John Kerry jijini Havana, ziara ambayo ni ya kwanza kutoka kwa kiongozi wa marekani baada ya miaka saba.

 

Comments are closed.