MAREKANI YALIPONGEZA JESHI LA IRAQ KWA KUUREJESHA MJI WA RAMADI

MAREKANI YALIPONGEZA JESHI LA IRAQ KWA KUUREJESHA MJI WA RAMADI

Like
264
0
Tuesday, 29 December 2015
Global News

MAREKANI imelipongeza jeshi la Iraq kwa kuweza kuurejesha mji wa Ramadi uliokuwa ukishikiliwa na wapiganaji wa Islamic State.

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Ash Carter  amesifu hatua hiyo kwa kusema ni muhimu katika kulishinda kundi hilo, aliloliita kuwa ni la kipuuzi.

Amesema ni muhimu pia kwa mamlaka za Iraq kwa kupata nasafi ya kudhibiti amani katika mji huo wa Ramadi na kudhibiti kurudi tena kwa kundi hilo la IS.

 

Comments are closed.