MAREKANI YATAFAKARI KUITANGAZA KOREA KASKAZINI KAMA TAIFA LINALOFADHILI UGAIDI

MAREKANI YATAFAKARI KUITANGAZA KOREA KASKAZINI KAMA TAIFA LINALOFADHILI UGAIDI

Like
304
0
Monday, 22 December 2014
Global News

Rais wa Marekani BARACK OBAMA amesema Serikali yake inatafakari kuiorodhesha upya Korea Kaskazini kama taifa linalofadhili ugaidi.

Hatua imekuja kufuatia uingiliaji wa Mtandao wa Kampuni ya Filamu ya Sony, hatua iliyoilaazimu kufuta uzinduzi wa filamu yake inayoonyesha mauaji ya kutungwa ya kiongozi ya Korea Kaskazini KIM JONG UN.

Maafisa mjini Pyongyang wamekanusha kufanya mashambulizi hilo la mtandaoni.

Comments are closed.