MAREKANI YATANGAZA KUTUMIA WANAJESHI 3000 KUSHIRIKI MAZOEZI YA KIJESHI YA NATO

MAREKANI YATANGAZA KUTUMIA WANAJESHI 3000 KUSHIRIKI MAZOEZI YA KIJESHI YA NATO

Like
308
0
Tuesday, 10 March 2015
Global News

MAREKANI imetangaza kutuma wanajeshi 3,000 kwenye mataifa ya Baltic kushiriki mazoezi ya Kijeshi na Washirika wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO.

Tangazo lililotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani,limesema mazoezi hayo yatazijumuisha Estonia, Latvia na Lithuania, na yatakuwa ya miezi mitatu.

Comments are closed.