MARIAH CAREY NDANI YA PENZI ZITO NA BRETT RATNER

MARIAH CAREY NDANI YA PENZI ZITO NA BRETT RATNER

Like
346
0
Monday, 30 March 2015
Entertanment

Mbali na director mkali wa filamu pamoja na muziki Marekani Brett Ratner  kuukana ukweli kuhusu yeye kuwa na mahusiano na Mariah Carey na kuziita taarifa hizo ni utoto kwa sasa ameshindwa kuficha kikohozi chake kufuatia kuonekana kwa picha tofauti zikiwaonyesha wawili hao wakiwa pamoja katika muonekano wa wakimapenzi.

Mariah Carey na Brett Ratner wanatofauti ya mwaka mmoja wakati Ratner akisherehekea siku yake ya kuzaliwa siku ya ijumaa huku ya Mariah Carey ikifuata siku ya jumamosi.

Moja kati ya picha hizo inawaonyesha wawili hawa wakiwa kwenye boti ya kifahari inayosadikiwa kuwa inamilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa huko Marekani ambae ni rafiki wa karibu na Ratner.

Ratner amewahi kuongoza filamu kubwa duniani zikiwemo Horrible Bosses, Rush Hour na music video ikiwemo za Mariah Carey Obsessed na Touch My Body

MARIAH

Comments are closed.