MARIKANA: AFRIKA YA KUSINI KULIPA FIDIA

MARIKANA: AFRIKA YA KUSINI KULIPA FIDIA

Like
307
0
Thursday, 01 October 2015
Global News

SERIKALI ya Afrika Kusini imesema italipa fidia kwa familia za wafanyakazi wa mgodini waliouawa wakati wa kuzuka kwa mgogoro wa Marikana mwaka 2012.

Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma ameeleza kuwa taarifa za kina kuhusu malipo zitatolewa na jopo huru linaloongozwa na jaji.

Kwa upande wa familia, wakili wao ameripotiwa kuunga mkono tangazo hilo la Zuma.

Comments are closed.