MASHAMBULIZI YA BOKO HARAM KASKAZINI MWA NIGERIA YATIMIZA MWEZI MMOJA

MASHAMBULIZI YA BOKO HARAM KASKAZINI MWA NIGERIA YATIMIZA MWEZI MMOJA

Like
255
0
Tuesday, 03 February 2015
Global News

LEO  ni mwezi mmoja tangu wapiganaji wa Boko Haram waliposhambulia miji ya Baga na Doron Baga kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Idadi kamili ya watu waliokufa haijulikani lakini inadaiwa kuwa ni kati ya watu mia moja na hamsini hadi elfu mbili.

Wakati wapiganaji wa Boko Haram wakivamia kutoka upande wa magharibi wa Baga, kundi la vijana waliodhamiria kupambana na kundi hilo walijaribu kuulinda mji wao.

 

 

Comments are closed.