MATHEW YUNGWE ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE BAGAMOYO KWA TIKETI YA CCM

MATHEW YUNGWE ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE BAGAMOYO KWA TIKETI YA CCM

Like
292
0
Tuesday, 14 July 2015
Local News

WAKATI viongozi mbalimbali wakijitokeza kugombea nafasi za uongozi kada wa chama cha mapinduzi Mathew Yungwe ametangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo Bagamoyo kupitia chama cha mapinduzi –CCM-ambalo linaongozwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi dokta Shukuru Kawambwa.

 

Akizungumza na viongozi na wanachama wa chama hicho mjini Bagamoyo mkoani Pwani Yungwe amesema ameamua kugombea nafasi hiyokwa lengo la kusukuma maendeleo ya jimbo hilo ambayo yamekwama kwa muda mrefu.

 

Yungwe amesema kuwa mambo atakayoyapa kipaumbele ni uchumi, Afya na Mawasiliano kwa kuwa ndio masuala muhimu katika kuwarahisishia wananchi kuwa na maisha bora.                                                    

Comments are closed.