MATOKEO YA MECHI ZA KIRAFIKI KIMATAIFA

MATOKEO YA MECHI ZA KIRAFIKI KIMATAIFA

Like
442
0
Wednesday, 01 April 2015
Slider

Katika michezo ya kirafiki kwa mataifa usiku wa kuamkia leo , Italy imekuwa mwenyeji wa England

Kikosi cha Italy kimekuwa na rekodi yakutofungika kirahisi tokea michuano ya kombe la dunia

mchezo huo uliomalizika kwa matokeo ya sare moja ya magoli 1-1

katika michezo mingine iliyochezwa jana Uholanzi ililipa kisasi cha fainali za mwaka 2010, baada ya kuisambaratisha Hispania bao 2-0. Ureno wakicheza bila Christian Ronaldo, walikiona cha moto baada ya kuadhibiwa nyumbani bao 2 kwa nunge dhidi ya Cape Verde, huku Sweden wakiichabanga Irani mabao 3-1. Leo hii viwanja viwili vitakuwa tabuni, pale Argentina itakapowavaa Ecuado huku Mexico ikiivaa Paraguay.

Comments are closed.