MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KUTANGAZWA KESHO BURUNDI

MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KUTANGAZWA KESHO BURUNDI

Like
175
0
Thursday, 23 July 2015
Global News

MATOKEO katika  uchaguzi  wa  rais  uliofanyika  nchini Burundi  wiki  hii  yatatangazwa  kesho, ambapo  rais  aliye madarakani  Pierre Nkurunziza  anatarajiwa  kushinda kipindi  cha  tatu huku  wapinzani  wake  wakidai  kuwa  ni kinyume  na  katiba.

Mkuu  wa  Tume  ya  uchaguzi  nchini  Burundi  Pierre-Claver  Ndayicariye  amesema  kiasi  cha  asilimia 72 hadi 80  ya  wapiga kura  wa  nchi  hiyo  wanaofikia  milioni  3.8 wamepiga  kura  siku  ya  Jumanne.

 

Comments are closed.