MATUMIZI HOLELA YA UMEME YAISABABISHIA TANESCO HASARA

MATUMIZI HOLELA YA UMEME YAISABABISHIA TANESCO HASARA

Like
212
0
Thursday, 03 September 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa vitendo vya baadhi ya wananchi kujiunganishia umeme bila kufuata utaratibu wa shirika la umeme Tanzania–TANESCO-kunalisababishai hasara kubwa shirika hilo.

Akizungumza na kituo hiki Meneja uhusiano wa TANESCO Adrian Severin amesema kuwa mikakati ya wanayoifanya kwa sasa ili kudhibiti hali hiyo ni pamoja na kufanya operesheni za ghafla maeneo mbalimbali nchini.

Katika hatua nyingine Adrian ameeleza kuwa hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara kunatokana na matengenezo kupitia mtambo wa Kinyerezi na kuwahakikishia wananchi kwamba tatizo hilo litakwisha ifikapo mwishoni mwa mwezi huu.

Comments are closed.